Ahiya, Ahiya Kwa baraka Mimi napona Kabisa, ni hajabu Sina mwili tena Niko sawa upepo Mimi masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina nyesha kama mvua Ina ruka kama ndege Ina cheka kama mtoto
Ahiya, mam'ahiya Sina haja,ya kitu, mimi napona I'm free, kama maji Anatembeya mpaka katika pori Mimi, mi masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina ota kama maua Ina pita kama nyota Ina waka kama jua
Pole pole mama Wakati wangu umefika, mimi napona I'm free, kama hewa Ina ingiya mpaka fasi inapenda Mimi, ni masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina ona kama macho Ina waka kama moto Ina lia kama ngoma
I'm free kama maji Ana tempaka mpaka kati ya pori
Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji Kama mimi leo, mimi napona
I'm free, I'm free Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya Mam'ahiya sina mali, Mungu, sina deni
Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 2
Видео
Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free) (Burundi ... Woman's body, woman's soul, woman's freedom. ~~~ Ahiya, Ahiya Kwa baraka Mimi ...
I´m Free - Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni I´m Free - Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni ... Nice rendition of "Free", originally written ...
Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free) https://secure.wikimedia.org/wikipedia/de/wiki/Khadja_Nin.